*Kifupi ni kwamba*
Gari limesajiliwa Msumbiji, limeingia Tz kupitia mpka na Kenya, Dereva ni Mnigeria anaeitwa Obasanjo, Lugha iliyokuwa inazungumzwa ni kilugha cha kusini mwa Afrika, afu watekaji ni wazungu! [emoji3]
HIVYOO YAANI[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1493]♂[emoji1493]♂
Kwaiyo majamaa Walipofika Gymkhana Wakaamuacha Muddy kwenye Gari, Wakampa Na Simu Alafu Wao Wakaondoka Kwa Miguu au sijui na Ubber Bila Wasiwasi Wowote? Aisee Haya Mambo Haya!!
[emoji28][emoji28]
Acha tuwaachie wenye kazi zao waje watupe majibu.