Wewe umesoma taarifa kabla hujakurupuka, ndio tatizo lenu hilo, uvivu wa kusoma. Hili hatukulileta ila wote tulikubaliana na lingewanufaisha sana nchi zinazotumia bandari zetu, yaani yetu ya Mombasa na huko kwenu Dar. Higher cargo-clearance volumes and less goods-clearance time, kwa mfano mizigo tokea Mombasa hadi Kampala kawaida ilikua siku kumi na nane, sasa zimeshuka hadi siku nne maximum.... hivyo sio maswala ya ardhi ama utalii....aisei mna kazi nyie, natumai hamna kauli hizi za kiajabu hata huko SADC maana kunazo nchi huko zinatumia bandari yenu.Mutaona mengi. Tanzania tumejipanga sasa. Si ile ya mwaka 77. Mujipange mkija na wazo lolote. Mfano ni hayo yawakutayo kwa sasa.
Wewe kila siku mashindano, si uchukue kombe ligi iishe!
ALSHABAB we thank u very much...ni wakati sasa kwa government of TZ to supply more and heavy weapons to alshabab kwan wataturahisishia sana na utalii+uchumi wa Kenya will get to its kneels..and this is not new coz US,UK,RUSSIA,IRAN wanafanya to protect their interest..km RWANDA n UGANDA arming M23 and other rebels while extracting DRC Resources...thank again alshabab juz wawekezaji wa mahotel mombasa walikua wanalia kua watapunguza wafanyakaz kwan mambo si mambo sisi tunataka hizo mahotel zifungwe kabisa ndo mtajua kua mli side na wrong pple COW
Wewe umesoma taarifa kabla hujakurupuka, ndio tatizo lenu hilo, uvivu wa kusoma. Hili hatukulileta ila wote tulikubaliana na lingewanufaisha sana nchi zinazotumia bandari zetu, yaani yetu ya Mombasa na huko kwenu Dar. Higher cargo-clearance volumes and less goods-clearance time, kwa mfano mizigo tokea Mombasa hadi Kampala kawaida ilikua siku kumi na nane, sasa zimeshuka hadi siku nne maximum.... hivyo sio maswala ya ardhi ama utalii....aisei mna kazi nyie, natumai hamna kauli hizi za kiajabu hata huko SADC maana kunazo nchi huko zinatumia bandari yenu.
Efficiency za bandari ya Mombasa kwa mizigo ya kwenda uganda na rwanda zitanisaidia vipi mimi mtanzania? Mimi tuongelee mafanikio na efficiency za kukuza bandari ya Dar,Tanga Mtwara na Bagamoyo!
hJameni mambo haya kawaida huwa yanajadiliwa huko kwenu Arusha, munayakubali na kusalimiana afu mnageuka usiku ghafla. Sio mambo ya bandari tuu lakini kanda hii yote ya EAC na hata nje, mwishoye yatahusu mipaka yote, yaani
Rusumo (Rwanda/Tanzania); Katuna/Gatuna, Mirama Hills/Kagitumba (Uganda/Rwanda); Nemba/Gisenyi 2, Ruhwa, Akanyaru (Rwanda/Burundi); Malaba, Busia (Kenya/Uganda); Namanga, Taveta/Holili, Lunga Lunga/Horo Horo, Isebania/Serari (Tanzania/Kenya); Kobero/Kabanga (Burundi/Tanzania); Mutukula (Tanzania/Uganda); na Tunduma/Nakonde Tanzania/Zambia).
Jameni kaka na dada zetu Wabongo, sio kila kitu ni chuki na ushindani, ila ni mwamko mpya kanda hii ya Afrika na huku kujichelewesha kutagharimu sana.
h
amumjui kikwete nyie,waulizeni kina dr.slaa anavyowapiga kanzu on daily basis.kwa hili la EA mmelikoroga,hivyo union Itakuwa redacted yore itabaki Jina tulsi vibaya mkajumuisha South Sudan mkatengeneza a proper EAC,msiwasahau Somalia Pia,kisha muondoe border controls.kuwe an single entry visa.single currency.
sijawahi ona Mwenye Nguvu aking'an'ania na weak.sasa mnaizodoa TZ kuwa goigoi,halafu mnalazimisha kuungana nayo.
waingereza wanaikataa EU kwa kuwa uchumi wao ujao juu.kina Ukraine wanaiota EU kwa kuwa wako taabani.
mlikosea sana kumuinsult kikwete,kwa I Neil mwanasiasa peeked aliyekuwa ana push hi EAC.he is leaving next year.anayekuja ni habari Mbaga zaidi.
Sielewi kinacho wafanya mkurupuke hivi, jameni someni taarifa vizuri na kufuatilia vyombo vya habari. Hili la single custom sio muungano, ila ni jinsi ya kurahisisha shughuli za bandari na usafirishaji wa mizigo mipakani. Mimi binafsi kiutalaamu nahusika kiaina na shughuli hizi na tumekaa vikao na wataalamu tokea EA yote wakiwemo Wabongo. Haswa wataalamu Watz walishabikia sana na najua lazima wamevunjika moyo sana baada ya kuona kwamba mmejitenga hata kwa hili.
Yaani issue ya muungano tulimalizana na tukaheshimu kauli yenu ya kutohusika. Sisi tumesepa na CoW na tuna mengi yanatimia, mojawapo ikiwa ujenzi wa reali ya kisasa itakayounganisha nchi nne.
Basi usipige kelele Tanzania ikitafuta njia yake yenyewe. am sure kila mtu anawatakia kila la heri na CoW.kwani mnafanana kwa kila kitu, kuanzia aina za uongozi,viongozi hadi sifa za wanaowaongoza.
Hayo ni moja ya mambo yaliyowafanya mshindwe elewana na watanzania, hao 9-5 unaofanya nao kazi sio wafanya maamuzi,hawajawahi amua wala hawatawahi amua.its beyond their pay grade.
Siku kukiwa na heshima ya kila taifa ndani ya EA ndio mtaweza kukaa meza moja na TZ, hizi hadithi za raisi mmoja kutapa atampiga raisi mwengine, uhuni huo TZ hatujauzoea. sisi ni kioo cha ustaarabu ati.
u can't have your cake and eat it, unanikumbusha hadithi za UKRAINE, wanaiita Russia wababe, halafu wanataka wawakopeshe gesi.ebo.
nyie mnawaita watanzania goigoi, nyi emko sharp, sasa mnashindwa nini kuendelea?mko zaidi ya 80M,mnatosha ati. Kikwete ameshawaambia tangulieni, tutajiunga baadae.shida iko wapi hapa?kuna ulazima gani wa kuburuzu majitu goigoi kama sie?
Hamna mtu ameipigia Tanzania kelele kwa kujitafutia njia mbadala na CoW, huo ni uhuru wake na tunaitakia kila la heri pia. Tatizo ni hili la kuwaita wadau kwenye vikao Arusha, panatokea maazimio yanayokubalika na kila mtu halafu baadaye Tz inageuka usiku. Vikao vyetu vya CoW tunavifanyia kwingine sio Arusha, huko Arusha tunakuja tu panapotokea issue yenye Tanzania inataka kuhusika kama hili la single custom.
Mradi wa single custom sio EAC tu, nimesema hapo awali ni vile mna uvivu wa kusoma, unahusu Rusumo (Rwanda/Tanzania); Katuna/Gatuna, Mirama Hills/Kagitumba (Uganda/Rwanda); Nemba/Gisenyi 2, Ruhwa, Akanyaru (Rwanda/Burundi); Malaba, Busia (Kenya/Uganda); Namanga, Taveta/Holili, Lunga Lunga/Horo Horo, Isebania/Serari (Tanzania/Kenya); Kobero/Kabanga (Burundi/Tanzania); Mutukula (Tanzania/Uganda); na Tunduma/Nakonde Tanzania/Zambia).
Basi usipige kelele Tanzania ikitafuta njia yake yenyewe. am sure kila mtu anawatakia kila la heri na CoW.kwani mnafanana kwa kila kitu, kuanzia aina za uongozi,viongozi hadi sifa za wanaowaongoza.
Hayo ni moja ya mambo yaliyowafanya mshindwe elewana na watanzania, hao 9-5 unaofanya nao kazi sio wafanya maamuzi,hawajawahi amua wala hawatawahi amua.its beyond their pay grade.
Siku kukiwa na heshima ya kila taifa ndani ya EA ndio mtaweza kukaa meza moja na TZ, hizi hadithi za raisi mmoja kutapa atampiga raisi mwengine, uhuni huo TZ hatujauzoea. sisi ni kioo cha ustaarabu ati.
u can't have your cake and eat it, unanikumbusha hadithi za UKRAINE, wanaiita Russia wababe, halafu wanataka wawakopeshe gesi.ebo.
nyie mnawaita watanzania goigoi, nyi emko sharp, sasa mnashindwa nini kuendelea?mko zaidi ya 80M,mnatosha ati. Kikwete ameshawaambia tangulieni, tutajiunga baadae.shida iko wapi hapa?kuna ulazima gani wa kuburuzu majitu goigoi kama sie?
Wewe kila siku mashindano, si uchukue kombe ligi iishe!