white elephant at best.
hata tungeongoza duniani bado tutaendelea kuwa bilabila milele. mahoteli na hudma nyingi ambazo watalii wanazitumia zinamilkiwa na wageni..sie kazi yetu kubwa ni kushangilia a.k.a wazee wa flag, chini ya usimamizi makini wa mawakala wa ukuwadi wa utajiri wetu. ak.a .serikali.