Jambo Tz JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 670 Reaction score 203 Jul 19, 2013 #1 Kwanini watu wanatoa rushwa ili apate haki yake anayo stahili, Je! Ni uoga ama kutojua haki zake za msingi.
Kwanini watu wanatoa rushwa ili apate haki yake anayo stahili, Je! Ni uoga ama kutojua haki zake za msingi.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,506 Reaction score 872,376 Jul 20, 2013 #2 Kutokujiamini, mfumo nao unahusika, kuwashwa na pesa