TANROADS-Tanga waita kwenye usaili

TANROADS-Tanga waita kwenye usaili

Joined
Jan 19, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Wadau wa JF, juzi nimepigiwa cmu na Watu wa TANROADS-Tanga, wakinihitaji nihudhurie kwenye interview itakayofanyika tar 7 na 8/05/14. Kwa maelezo yao wanadai nisome gazet la mwananchi la April 28 kuna details zote pmj na list ya walioitwa.

Sasa wana JF naomba mwenye uwezo wa kuzpta hzo details atuwekee hmu jamvini, maana hku niliko mm ni remote area yaan hta gazet ni shida kulipata.
 
Back
Top Bottom