B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,050 Jun 9, 2021 #101 Troll JF said: Ole Sabaya kiboko ya Mbowe Click to expand... Hivi mabandiko yenu ya kisengerema kama haya si mngekuwa mnayarejelea au hata kuyafuta kabisa?
Troll JF said: Ole Sabaya kiboko ya Mbowe Click to expand... Hivi mabandiko yenu ya kisengerema kama haya si mngekuwa mnayarejelea au hata kuyafuta kabisa?
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,237 Reaction score 8,992 Jun 9, 2021 #102 Wakati mwendazake ni waziri walitumika sana hao kutengeneza barabara hewa
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,050 Jun 9, 2021 #103 Phillipo Bukililo said: Naongelea mienendo yake baada ya kumtazama kwa muda wote aliotumikia cheo cha uwaziri. Click to expand... Nami nimeuliza kwa kumtazama yeyote katika muda wote aliotumikia cheo chochote katika kipindi cha mwendazake: "Je, mliwahi kumkosoa yeyote akiwamo hata mwendazake mwenyewe?"
Phillipo Bukililo said: Naongelea mienendo yake baada ya kumtazama kwa muda wote aliotumikia cheo cha uwaziri. Click to expand... Nami nimeuliza kwa kumtazama yeyote katika muda wote aliotumikia cheo chochote katika kipindi cha mwendazake: "Je, mliwahi kumkosoa yeyote akiwamo hata mwendazake mwenyewe?"
K kalonji JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,261 Reaction score 8,160 Jun 9, 2021 #104 Hawa awajawahi guswa sababu wanaujua upigaji wake
K kalonji JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,261 Reaction score 8,160 Jun 9, 2021 #105 sengobad said: Wakati mwendazake ni waziri walitumika sana hao kutengeneza barabara hewa Click to expand... Nyingi pia zilikuwa chini ya kiwango
sengobad said: Wakati mwendazake ni waziri walitumika sana hao kutengeneza barabara hewa Click to expand... Nyingi pia zilikuwa chini ya kiwango
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 19,991 Reaction score 24,029 Jun 9, 2021 #106 Ni muda sahihi emg Mfugale akapumzika sasa umri pia maradhi hongera kazi nzuri......pumzika baba
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 17,582 Reaction score 28,566 Jun 9, 2021 Thread starter #107 brazaj said: Mrejesho tafadhali. Pana lolote limeahafanyika kwenye alivyosema mama kuhusu hawa? Click to expand... Barabara kubwa ya Ring Riad Dodoma imeshapigwa panga.
brazaj said: Mrejesho tafadhali. Pana lolote limeahafanyika kwenye alivyosema mama kuhusu hawa? Click to expand... Barabara kubwa ya Ring Riad Dodoma imeshapigwa panga.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,050 Jun 9, 2021 #108 Phillipo Bukililo said: Naongelea mienendo yake baada ya kumtazama kwa muda wote aliotumikia cheo cha uwaziri. Click to expand... Nami nimeuliza kwa kumtazama yeyote katika muda wote aliotumikia cheo chochote katika kipindi cha mwendazake: "Je, mliwahi kumkosoa yeyote akiwamo hata mwendazake mwenyewe?" Jidu La Mabambasi said: Barabara kubwa ya Ring Riad Dodoma imeshapigwa panga. Click to expand... Mama aliahidi kuwafanyia audit tanroads, TPA na BOT ambapo wawili hao ilikuwa kwa msisitizo Jan - March 2021. Pana mrejesho wowote kuhusiana na audit hizo?
Phillipo Bukililo said: Naongelea mienendo yake baada ya kumtazama kwa muda wote aliotumikia cheo cha uwaziri. Click to expand... Nami nimeuliza kwa kumtazama yeyote katika muda wote aliotumikia cheo chochote katika kipindi cha mwendazake: "Je, mliwahi kumkosoa yeyote akiwamo hata mwendazake mwenyewe?" Jidu La Mabambasi said: Barabara kubwa ya Ring Riad Dodoma imeshapigwa panga. Click to expand... Mama aliahidi kuwafanyia audit tanroads, TPA na BOT ambapo wawili hao ilikuwa kwa msisitizo Jan - March 2021. Pana mrejesho wowote kuhusiana na audit hizo?