Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,137
- 29,797
Nafasi ya rugemalila na seth kule keko tunataka wafuatao ndio waende keko,mfugale,kakonko,DG atcl,DG TRC,dotto james,heri james,sabaya, bashite....hawa hawatakiwi kuona jua la saa 10 jioni wao mwisho iwe saa 9 kama ratiba ya magereza ilivyo.
Tukimaliza tunaanza na DK gwajima n naibu wake kwa vifo vya waliokufa n covid wakti wao wakifanya comedy za kunywa juice ya tangawizi n limao
Majambazi yote ya Ujenzi na TANROADS lazima yakamatweKwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fai mbali mbali nchini.
Nani asiyejua kuwa ni TANROADS ambao walikuwa nguvu kubwa ya mheshimiwa Magufui hadi kushika madaraka ya Urais.
Nguvu ya TANROADS imetumika kisiasa na tumeona wafanya kazi wa TANROADS wakipelekwa sehemu mbali mbali za uongzi katika awamu ya tano.
Siyo bure kwamba lile daraja la TAZARA pale limtunikiwa jina la Mfugale wa TANROADS.
Hatukuwahi kusikia mahesbu ya CAG yakiigusa vibaya TANROADS kwa muda wote wa awamu ya tano.
Sasa mambo yameanza kbadilika, kaingia rais wa sita Mama Samia.
Mtu wa kwanza kuenguliwa ni Eng Kakoko wa TPA-Bandari.
Alikuwa meneja wa Mkoa TANROADS huyu
Hili siyo bure- walikuwa untouchables.
Nimemsikia Rais Mama Samia kuwa sasa anataka kuona miradi ya barabara ikikaguliwa na CAG.
TANROADS mkae mguu sawa.
Ole Sabaya kiboko ya MboweNafasi ya rugemalila na seth kule keko tunataka wafuatao ndio waende keko,mfugale,kakonko,DG atcl,DG TRC,dotto james,heri james,sabaya, bashite....hawa hawatakiwi kuona jua la saa 10 jioni wao mwisho iwe saa 9 kama ratiba ya magereza ilivyo.
Tukimaliza tunaanza na DK gwajima n naibu wake kwa vifo vya waliokufa n covid wakti wao wakifanya comedy za kunywa juice ya tangawizi n limao
Eng Rubiria huyu.Unanitonesha kidonda, aliyekuwa meneja wa tanroads mkoa wa Mwanza sasa na RC mkoa wa Njombe. Ana kiburi huyu baba sijawahi kuona.
We ujaona heri James anaomba mariadhiano.Ole Sabaya kiboko ya Mbowe
Eng. R.marwaEng Rubiria huyu.
Maridhiano na nani? Anaongea issues ndani ya Chama maridhiano na wahuni wakati chama kilishakufa?We ujaona heri James anaomba mariadhiano.
Eng. R.marwaEng Rubiria huyu.
Chama kimekufa wakati mwenyekiti yuko hai? We vipiMaridhiano na nani? Anaongea issues ndani ya Chama maridhiano na wahuni wakati chama kilishakufa?
Jamaa mlikuwa mnatutisha kutuua humu JF nakukumbusha tu hatutaishi milele sifa ya mtu kufaMaridhiano na nani? Anaongea issues ndani ya Chama maridhiano na wahuni wakati chama kilishakufa?