:nimekataaWadau kuna nafasi za WEIGHBRIDGE OPERATORS zilitangazwa na hao jamaa nika-apply tangu Nov 2013 bt mpaka sasa cjapata updates zozote kutoka kwao. Wana JF naombeni kama kuna mwenye taarifa au kuitwa interview na hao jamaa anijuze.

Arusha sifahamu mkuu, but kwa Kigoma jana kulikuwa na uzi mmoja mchizi kaweka kuwa amepigiwa simu TANROADs Kigoma WeigthBridge Operator, ni hayo tu mkuu...!!!!
Kuhusu Tanroads kigoma walinipigia simu jana ikisema niende kwa interview tarehe 15/04/2014, bt hawa jamaa sifahamu kama wapo fair kweli katika interview? na sifahamu wanalipaje?

600k take home, allowance 300k jumla 900k, kakomae mdau hata mimi nimeomba songea naendelea kusubili ila nahitaji qualification zako ili nijui kama nitapita au vipi waweza nipm mkuu.