Tanroads kibaha

Tanroads kibaha

BABY ACY

Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
78
Reaction score
14
Habar zenu wana jf,naomba msaada kwan nimeitwa kwenye interview ya tanroad kibaha position ya cashier zileeee ambazo zilitoka tar 6 march na deadline ilikuwa 18 march, yoyote mwenye information kuhusu interview inakuwaje naomba anisaidie hata maswal ambayo wanapenda kuuliza.msaada wenu ni muhimu sana kwangu. Asanten sana
 
Wamekwambia ni interview ya namna gani, written au oral? Kama ni written bac we jiandae kwa calculation na ungwini maana hawana format maalum. Kama vp nicheki kwenye pm.
 
Naomba namba yao ya simu waliotumia kukupigia maana mimi mwenye nilituma na bado sijapata taarifa yeyote,sijui ni kwa sababu sehemu ninakoka network inasumbua au la? Nitumie kwenye namba 0755805723.thanks!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom