Mkuu kuna nyepec nyepec kuwa wa2 wameshaanza kazi, me mwenyewe baada ya kupata hizo taarifa nilishangaa. Tena hakukuwa na oral wala nini, ile ile written ilikuwa kama danganya toto.
Interview za cku hizi nyingi ni danganya toto mkuu, wanaita wa2 kwny interview ili kuionyesha jamii kwamba wamefuata taratibu zote za kuwachuja wa2 na kwamba wamewapata wa2 wenye cfa na vigezo, kumbe hamna chochote cha zaidi kinachofanyika. Nafac zikitangazwa 2 walioko juu wanazigombania wao kwa wao, tena saa nyingine hata baadhi yao inabidi wawe wapole maana ushindani unakuwa mkubwa na wengine wanataka waweke ukoo mzima, cjui kama 2tafika kweli kwa hali hii.sasa kama ndio hivi, mbona watakua wana filisi wa2,kwa maana wngne 2litoka mikoani, sasa kama walikua wanajua kua wana wa2 wao ya nn kuita wa2 wengi waje kwnye intrvw??au kama walikua na nia ya ku ajiri walio nao, kwann wali itangaza nje????
Jamanii hili tatizo litaisha lini??