Mkuu bei inapungua kutokana na quality ya Tank utakalochagua, kuna wengine wanataka matank wakafanyie ujenzi tu so anachukua hata la hovyo hovyo kwa laki tu, kwa sababu after ujenzi linakuwa halifai tena,, so negotiation inafanyika ukija kulingana na quality ya Tank utakalochagua.