Tangu CCM waichukue Zanzibar bila upinzani wa CUF je kina maendeleo waliohaidiwa kuwa kama Dubai? Nani kakwamisha?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,547
2,000
1/ Ndugu zangu waTng, 2016 kwa kutumia NGUVU na MABAVU CCM walilazimisha uchaguzi wa DHULMA #Zanzibar. Wakashinda majimbo YOTE. Sasa wako peke yao BARAZA la Wakilishi. Ninataka mjiulize je:
1. Umaskini umekwisha?
2.ZNZ imekuwa Dubai kama alivyotuahidi Shein?
3.Dhulma imeisha?

2/
4.Maisha ya waZNZ yamekuwa Bora?
5.Skuli zimekuwa BORA?
6. Hospitali zimekuwa Bora?
7. Jamii imezidi kupendana na kushirikiana?
8.Utawala wa SHERIA umeboreka?
9.Uwajibikaji wa Serikali na vyombo vya dola umeboreka?
10. Participation ya Wananchi kwenye UTAWALA imezidi?

3/ Kama #Zanzibar imekuwa DUBAI tangu 2016, basi hamna la kuogopa maana na nyi mtakuwa DUBAI 2020-2025. WaSwahili tuna msemo: “Dalili za mvua MAWINGU!”
 

prs

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
2,647
2,000
Sasa hivi nao wanaishi kama wasukuma..

Nakumbuka Mh.Jusa aliwahi kuonya kuhusu kuamuliwa mambo ya Nchi yao na Tanganyika.

Naamini Zanzibar itakua kama Dubai kama watajitenga na Tanganyika
 

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
3,439
2,000
hivi bado kuna watu bado wanaenda kupanga foleni kuipa kura CCM? hii nchi dah!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom