Tangazo Muhimu

kuna sehemu inaitwa NANGULUKURU ukiwa unaenda Mtwara vyoo vyake ndo vipo ivo afu ndo sehemu ya kula
 
jee kama utalipia haja kubwa halafu ukaenda kubwa na ndogo kuna faini ?
 
jee kama utalipia haja kubwa halafu ukaenda kubwa na ndogo kuna faini ?

huwezi amini hawa jamaa walivyowataalam ukilipia kubwa ndogo haitoki ukilipia ndogo kubwa haitoki na ukiwa muwazi kuna discount kama unapga zote.
 
huwezi amini hawa jamaa walivyowataalam ukilipia kubwa ndogo haitoki ukilipia ndogo kubwa haitoki na ukiwa muwazi kuna discount kama unapga zote.

Kumbe ni wataalam wa anga!! teh teh teh
 
duh hii soo, ulishawai kubanwa ukaona yaani hata kusalimia unachelewa , hapo ndo lazima uingie bila ruhusa ili ulipe mwekundu wa msimbazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…