Faza watu hawaendi na wakati, ushenga siku hizi umerajisishwa mno. Nashindwa kujua kwanini wameshindwa kufikiria kwamba kwa kaliba yako, hauwezi kuleta jambo kama hili kwenye kadamnasi bila kuwa na sababu iliyoshiba.
Ufanikishe kwa amani na ufanisi wa hali ya juu hili jukumu adhimu mkuu.