conrym.conrym
Member
- Jul 24, 2014
- 99
- 7
Nafasi ya Kazi ya Ulinzi (Nafasi 15)
Kampuni ya Ulinzi ya 24 Security (T) Limited inatangaza Nafasi za kazi ya ulinzi.
Kituo cha kazi:
Dar es Salaam (3)
Dodoma (3)
Mwanza (3)
Mbeya (3)
Mtwara (3)
SIFA ZA MWOMBAJI;
→Awe amehitimu elimu ya msingi au kidato cha nne
→Awe amepitia mafunzo ya JKT, Mgambo ama Ulinzi Shirikishi
→Awe anajua kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili
→ Awe raia wa Tanzania
→Awe na uzoefu wa kufanya kazi ya ulinzi kwa muda wa zaidi ya miezi 9
→Awe na nidhamu na mwenye kujituma
MAJUKUMU;
1. Kuhakikisha ulinzi na usalama wa jumla wa Mteja na mali zake
2. Kuchukua tahadhari zote zinazotakiwa ili kudhibiti matukio ya upotevu wa mali, wizi, moto na mengine ya aina hiyo.
3. Kusimamia uingiaji wa wageni katika milango na geti za ofisi.
4. Kufanya shughuli nyingine zozote atakazo elekezwa au kupangiwa na viongozi wake
5. Mwombaji aambatanishe;
a. Vyeti vya elimu/kuzaliwa
b. Barua kutoka serikali ya mtaa anakoishi
c. Barua ya wadhamini wawili na picha zao.
Mwisho wa kuwasilisha maombi ni Tarehe 27/02/2015 Kwa maelezo zaidi piga 0774819712