Tangazo la kazi

Tangazo la kazi

abuuzahraa

Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
24
Reaction score
9
Asasi ya Sadiq Development foundation (SDF) Inatangaza nafasi za ajira fani zifuatazo:
1. Librarian: nafasi 2
KAZI:
Kusimamia na kuendesha library ya vitabu vya dini.
Sifa:
Awe na Diploma au Shahada ya kwanza ya fani husika. Awe anafahamu vizuri kiarabu na Kingereza. Awe na umri si zaidi ya miaka 35.
2. Mhudumu wa ofisi (office attendant)-nafasi-2
Kazi:
Kufanya usafi na kuhudumia mahitaji ya ofisi
Sifa:
Awe na cheti na au diploma Awe na uwezo wa kuzungumza kiarabu na kingereza kwa ufasaha. Awe na umri usozidi miaka 35
3. Photo Auditor:
Kazi: kusimamia na kutawala idara ya kuhariri (editing) picha za kawaida na video kwa kiwango cha kimataifa. Kuchanganya picha na kubuni cover za CD/DVD
Sifa;
Awe na Diploma katika fani husika na uzoefu wa miaka miwili katika fani husika. Awe na umri usiozidi miaka 30. Awe anajua kuzungumza na kusoma kiarabu na kingpereza kwa ufasaha.
MAWASILIANO:
Tuma maombi yako kwa barua ya kiarabu ikiwa umeambatanisha vyeti vyako na CV yako kwa anuani:
MURUGENZI MKUU
SADIQ DEVELOPMENT FOUNDATION
E-mail: asadiqmedia@gmail.com

Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 28/07/2013
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom