Tangazo la kazi

Sio la kubumba kweli hilo Tangazo? Ngoja nimpigie nanihii ni confirm..
 
Kumbe wa hudumu wa mortuary huwa wanakozi yao,ndo nimejua Leo
Nilidhani mtu yeyote mwenye ujasiri anaweza kuifanya iyo kazi.


Si kama udhaniavyo wewe, kozi yao wanayosema ni ulevi....inabidi uwe mlevi kupindukia kufanya ile kazi ila kwa kuwa Tanga wanajifanya waswalihina sana ndiyo maana wamenadika kiujanja zaidi.
 
Si kama udhaniavyo wewe, kozi yao wanayosema ni ulevi....inabidi uwe mlevi kupindukia kufanya ile kazi ila kwa kuwa Tanga wanajifanya waswalihina sana ndiyo maana wamenadika kiujanja zaidi.
Ila usiwe mvuta bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…