Hiyo ni TTCL Landline (simu ya melani). Wale wa zamani wanazijua sana namba hizo...! 023 ni code namba ya mkoa wa Pwani au Morogoro. Hata hivyo usiwe na wasiwasi kuhusu gharama ya kupiga kwani ni kama vile una tigo halafu unapiga mtandao mwingine (voda, halotel, smart, airtel).uwo mtandao gani wa simu???
Ni Astashahada.Haya mkuu
naona maduka yanataka Stashahada
tusiosoma tuna wakati mgumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaaaa ndugu yanguHaya mkuu
naona maduka yanataka Stashahada
tusiosoma tuna wakati mgumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
TTCLuwo mtandao gani wa simu???
Ni Astashahada.
Astashahada = Certificate
Stashahada = Diploma
Shahada = Degree
....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo kwa maringo hatujambo...! Ukiona mpaka kazi inatangazwa basi ujue ni Kampuni iliyojipanga. Ingekuwa ubabaishajibabaishaji si jamaa wana ndugu wengi tu ambao hawana kazi kule kijijini walikotoka. Si wangewaajiri tu ndugu zao?Umegonga olevel yako kwa shida ukamaliza then ukajiongeza na cheti au diploma..then unaenda kufanyiwa interview ya kuuza duka la sabuni mbuni na pipi kifua!!..uliza wapi sasa?.. kisarawe kwa kina badi bakule!!....tena unaweza kukuta panel ina watu kama 20 hivi ambao hawajui hata maana ya interview!!!!.dah R.I.P elimu