1. Anahitajika mtalaam wa maabara mwenye certificate yaani technician certificate in medical laboratory
technology *nafasi moja*
2. Anahitajika muuza duka la dawa (pharmacy ) mwenye certificate yaani technician certificate in
Pharmaceutical sciences *nafasi moja* awe amesajiliwa na pharmacy council
Kituo cha kazi ni Kigamboni Dar es salaam
Wawe waminifu