Tangazo la kazi ya uwakala

Tangazo la kazi ya uwakala

lilianjr

Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
16
Reaction score
1
Connect General Supplies ni wasambazaji maarufu wa Mashine za Kisasa “Automatic” za Kutotolesha vifaranga vya Kuku, Kwale, Kanga, Bata n.k. Mashine zinasifika kwa ubora na uimara wake wa hali ya juu wenye kuleta manufaa makubwa kwa wafugaji.
Kampuni inatangaza nafasi za Kazi ya UWAKALA MAUZO Katika Mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Dodoma , Iringa, Arusha, Mwanza, Mbeya na Singida
MAJUKUMU YA WAKALA

  1. Kuwaelemisha wafugaji juu ya ubora wa mashine zetu, na faida kubwa watakazopata kwa kununua hizi mashine
  2. Kugawa vipeperushi vitakavyotolewa na kampuni
MALIPO
Wakala atalipwa kwa kila mashine atakayouza (Sales-Commission). Kipato ni Kikubwa na cha Uhakika.
SIFA ZA MWOMBAJI
Awe umri wa Kuanzia miaka 18-45, mwenye uwezo wa Kujieleza Vizuri kwa Kiswahili. Awe Na uelewa mpana wa masoko ya wafugaji wa kuku, Kanga, kwale n.k
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI

  1. Andika Barua ya Maombi onyesha uwezo na uelewa ulionao katika kutafuta masoko (Mfano: Mtandao wa masoko)
  2. Barua iwe na majina ya wadhamini watatu na namba zao za simu, mmoja kati yao awe mzazi/ mlezi/Jirani
Tuma Maombi kabla ya tarehe 25/3/2015 kwa; Meneja Masoko - Connect General Suppliers, P.O. Box 34329 DSM. Simu: 0767 509 226/ 0763 973 533
 
Hizo mashine mnauzaje? Kama nataka kununua...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom