Tangazo la Kazi: Sales Representative

Tangazo la Kazi: Sales Representative

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2010
Posts
1,041
Reaction score
772
Sales Representative

F3C3E3CB-B3A3-41A4-ABA9-EAEBADECC299.jpeg
 
Tangazo la KIPUMBAVU. Eti will be able to generate, Kwa hiyo mpaka awe able kugenerate sasa hiyo si kujiajiri mwenyewe? Kampuni za kitapeli hizi utapiga kazi mwisho unaambiwa 'you were not able to generate ' kwa hiyo hakuna mshahara Taja majukumu ya kazi na mshahara ni kiasi gani Matapeli Nyie
 
Hakuna kazi ngumu duniani kama ya sales. Title nzuri ila jasho litakutoka
 
Tangazo la KIPUMBAVU. Eti will be able to generate, Kwa hiyo mpaka awe able kugenerate sasa hiyo si kujiajiri mwenyewe? Kampuni za kitapeli hizi utapiga kazi mwisho unaambiwa 'you were not able to generate ' kwa hiyo hakuna mshahara Taja majukumu ya kazi na mshahara ni kiasi gani Matapeli Nyie
Ukishajibu namna hii maana yake huoni umuhimu ila wanaouona watakuwa wametuma maombi
 
"will be able to generate...blah blah blah"

huu ni upigaji wa wazi kabisa,

ungesema "malipo ni kwa kamisheni" ungeeleweka zaidi
 
Tangazo la KIPUMBAVU. Eti will be able to generate, Kwa hiyo mpaka awe able kugenerate sasa hiyo si kujiajiri mwenyewe? Kampuni za kitapeli hizi utapiga kazi mwisho unaambiwa 'you were not able to generate ' kwa hiyo hakuna mshahara Taja majukumu ya kazi na mshahara ni kiasi gani Matapeli Nyie
Hahahah halafu wanasema ni kazi ya contruct ...maana ukiwa field hukohuko unaweza ikimbia kazi......hatari na nusu ...hii kazi afanye na mke wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom