P PEACE ONE Senior Member Joined Jan 26, 2015 Posts 143 Reaction score 47 Jul 13, 2015 #1 Habari wana JF? Jana kwenye pilika zangu nilisikia kipande cha tangazo la watu wasio na ajira wapeleke vyeti Clouds FM naomba ambaye amesikia tangazo hilo kwa upana atupe habari kamili. Asanteni!
Habari wana JF? Jana kwenye pilika zangu nilisikia kipande cha tangazo la watu wasio na ajira wapeleke vyeti Clouds FM naomba ambaye amesikia tangazo hilo kwa upana atupe habari kamili. Asanteni!
J jnr G Member Joined Jul 12, 2015 Posts 9 Reaction score 10 Jul 13, 2015 #2 Peleka kwa mkuu wa wilaya ya kinondoni
P PEACE ONE Senior Member Joined Jan 26, 2015 Posts 143 Reaction score 47 Jul 13, 2015 Thread starter #3 Ndio tangazo linasema hivo mkuu@jnr G?
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Jul 13, 2015 #4 Nenda na vyeti vyako leaders club ukaoneshwe fursa
P PEACE ONE Senior Member Joined Jan 26, 2015 Posts 143 Reaction score 47 Jul 13, 2015 Thread starter #5 Lini mkuu hapo leaders?@kaka yakonapita
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Jul 13, 2015 #6 kuanzia leo mpka tar 15