Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,097
Tangazo la ITV la kumkaribisha Rais wa Marekani Mhesh. Barrack Obama linaniacha mdomo wazi pale wanapomtaja mke wake Michelle Obama kama "Mrs" badala ya First Lady. Naona wamekosa umakini katika kuhariri tangazo hili kidiplomasia. Wamenikumbusha matangazo ya Kijapani yenye kiingereza kibovu wakati wa World Cup.
kwani lazima aitwe first lady lakini..
hapa kaka una jivua nguo....hakuna atakaye kujibu vyema...ila uko.sawa...protocal zinapaswa kifuatwa...mbona obama hawakusema 'eti Mr Obama'..wamesema rais wa...mkewe jeee....