Mwakawasila
Member
- Oct 23, 2024
- 39
- 68
Sure.Huu unaitwa mtego. Kampuni imepungua faida alafu inatoa divident kubwa ππ usipoangalia utalia na moyo baada ya divident kupita
Ha! Kumbe. Mi nilikuwa nashangilia nasema ni bonge la fursa. Nifafanulie vizuri ni mtego kivipi kwamba naweza kununua nisipate gawio au?Huu unaitwa mtego. Kampuni imepungua faida alafu inatoa divident kubwa ππ usipoangalia utalia na moyo baada ya divident kupita
Ha! Kumbe. Mi nilikuwa nashangilia nasema ni bonge la fursa. Nifafanulie vizuri ni mtego kivipi kwamba naweza kununua nisipate gawio auHuu unaitwa mtego. Kampuni imepungua faida alafu inatoa divident kubwa ππ usipoangalia utalia na moyo baada ya divident kupita
Mfano ulikuwa unapata faida ya 500 mwaka unaofuta faida ikashuka hadi 300 alafu utangaze kulipa wafanyakazi wako mshahara mara mbili kwa mapato ya akiba ya kampuni bila kuangalia je mwakani itakuaje, Je nitapata faida zaidi au faida itazidi kushuka zaidi? Je, itakuaje faida ikishuka zaidi ?Ha! Kumbe. Mi nilikuwa nashangilia nasema ni bonge la fursa. Nifafanulie vizuri ni mtego kivipi kwamba naweza kununua nisipate gawio au?
Hapo ni hasara tu. Lakini je hivyo ndivyo ilivyo kwa twiga cement?Mfano ulikuwa unapata faida ya 500 mwaka unaofuta faida ikashuka hadi 300 alafu utangaze kulipa wafanyakazi wako mshahara mara mbili kwa mapato ya akiba ya kampuni bila kuangalia je mwakani itakuaje, Je nitapata faida zaidi au faida itazidi kushuka zaidi? Je, itakuaje faida ikishuka zaidi ?
Akili mtu anguπ€£Huu unaitwa mtego. Kampuni imepungua faida alafu inatoa divident kubwa ππ usipoangalia utalia na moyo baada ya divident kupita
Fafanua vizuriAkili mtu anguπ€£