masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,120
Tangazo la kunadi unga wa Azam linatia kichefu chefu!
Kuna mtu anakula chapati na wakati huo huo anaongea!
Kinachotokea hapo kinaeleweka kwa mtu mstaarabu, mate kutemwa ovyo na chakula na mate yake kutoka mdomoni.
Kinyaa tupu.
Azam wanawajibu wa kutengeneza matangazo yenye kuonyesha tabia nzuri ya kula hasa mezani. Uswahili uswahili usitumike kujipatia faida bila kuonyesha wajibu kwa jamii.
Kama umesoma, kuelewa na kujua namna ya kubofya kifaa chako humu mtandaoni, hata ukiwa mwafrika, elimu hiyo ikusaidie na jinsi ya kuishi kistaarabu.Table Manners ni complete package.
Kuongea ni minor case kwenye hilo swala.
Waafrica hatuna hilo swala.
Kama umesoma, kuelewa na kujua namna ya kubofya kifaa chako humu mtandaoni, hata ukiwa mwafrika, elimu hiyo ikusaidie na jinsi ya kuishi kistaarabu.
picha tafadhali maana wengine hatuna tv
ndugu you are right, table manners sio kitu cha western tu, kwani mnaokataa mlivyokuwa wadogo wazazi wenu hawakuwaambia usiongee ukiwa na chakula mdomoni?!..hoja ya sijui ni western and we are african ni nonsense
Kwanza mtu makini utanunuaje chapati za kiwandani.Si afadhali ukanunua za mama ntilie kama umeshindwa kupika mwenyewe maana unajua kilichotokea.Sasa za Azam mm jamani,"globalization" humo humo.Watatumaliza hawa.
Watu wa Azam hawajawahi kufuga nguruwe inaelekea, hilo tangazo linanikumbusha nguruwe wanavyokula kule kijijini kwetu.Ukiona mtu anapinga ujue hakufundishwa table manner kwa hivyo hata yeye mwenyewe hana, ila kimsingi inachefua