Tangazo la ajira

Tangazo la ajira

induna's

Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
40
Reaction score
3
Kampuni ya rifaro nakupa uwezo wa wew mtumiaj wa simu kujiajiri kupitia simu yako ni kwa wale watumiaji wa simu za mkononi zenye laini ya tigo, zantel,na airtel

rifaro ni kampuni inayohusika na biashara ya mtandaoni kupitia team work

katika biashara yeyote lazima uwe na MTAJI, WATU NA WAZO

Kampuni imetafuta wazo inachotakiwa ni watu na mtaji wa mtu kujiendeleza

inaonyesha tanzania inawatumiaji wa simu 33 milion

na ambao wapo active ni 29 milion

kupitia utafiti huo kampuni imeona bora iingie mkataba na makampuni za simu ili kumfika mtanzania mmoja mmoja ajinasue na wimbi la umaskin


kwa kawaida vocha ina mzunguko ufuatao
kampuni_wakala mkuu_wakala msambazaji_mnunuzi wa jumla - mnunuzi wa rejareja na mwisho wewe mtumiaji na hunufaiki na chchote zaid ya mawsiliano

kampuni ikaingilia kati mfumo upo hivi

kampuni- rifaro- mtumiaji
katika faida wanazopa rifaro wanakurudishia 6.5 ktk account yako

JINSI YA BIASHARA
Tembelea ofisi za rifaro upate elimu au semina bure kama ukiridhika ndipo ujiunge

ukijiunga utapewa code number, visa kadi kitabu cha biashara na dvd ya elimu ya biashara

code number itakusaidia kujenga timu ya kibiashara yani (K) Kizazi au vizazi
kizazi huanzia K1 hadi K15

MAELEZO KUHUSU VIZAZI
K1 Ni wale uliowaunga kuptia kodi yako uliyopewa na wakala wetu
K2 ni wale walio ungwa na kizaxi cha kwanza kwako
itafuata hivyo hadi kizaxi cha 15

mfano
ww uliunga timu yenye watu 10 hao ni kizazi cha kwanza kwako

na hao kumi kila mmoja akaunga team hao ni kizazi cha pili toka kwako

MALIPO KWA MWANACHAMA
mwanachama hulipwa katika malipo ya mwezi na week

malipo ya week

malipo haya kila mwanachama atalipwa kwa kumsajili mwanachama mpya malipo kama yafuatayo
K1 Analipwa 20000×idadi ya wanachama katika K1
K2 Analipwa 8000 × idadi
K3 hadi K6 analipwa 5000×idadi
K7 hadi K8 hulipwa 2000×idadi

Malipo ya mwezi(kama mshahara)
malipo haya hutokana na matumizi ya kiasi cha vocha kwa wanachama katika vizaz vyote 15
k1 hadi k5 watalipwa asilimia 0.5% ya vocha wanazotumia
K6 hadi K15 watalipwa 0.25% ya vocha wanazotumia

mfano
katika K1 hadi K5 unajumla ya wanachama 1000 na kila mmoja kisio anatumia 20000 itakuwa hivi
20000×1000×0.5= 100000 kila mwezi

K6 hadi K15 unajumla ya wanachama 10000 utalipwa 0.25

20000×10000×0.25=500000

Fursa ni yako simu yako jembe lako

fursa hii ni yako

hudhuria mafunzo kadri uwezavyo ili ujifunze ili maamuzi sahihi yatoke moyo
pia mtangulize mungu kwa kila fursa inayotokea

WASILIANA NAMBA 0773341597

ahsanteni

MUNGU HUMBARIKI KILA ATENGENEZAYE NJIA
 
Asante kwa taarifa,, ila ingekuwa vizuri kama ungeelekeza kabisa sehemu ilipo hiyo ofisi hapa kuliko kila mtu kukupigia simu
 
dunia nzma tupo 7billion hawa umewatoa wap afu ni tanzania tu
 
Wakati takwimu za sensa ya mwaka 2010 zinaonyesha jumla ya Watanzania ni milioni 50 yaani kimahesabu ni nusu bilioni, sasa hao bilioni 33 sijui wamepatikanaje?
Mkuu milioni 50 siyo nusu bilioni. Nusu bilioni ni milioni 500.
 
jamani niwieni radhi hiyo takwimu c bilion ni milion so ni sameheni kwa hilo hata hivyo kwa hiyo takwimu hiyo biashara inalipa jaribuni kufika ofisin
 
Wakati takwimu za sensa ya mwaka 2010 zinaonyesha jumla ya Watanzania ni milioni 50 yaani kimahesabu ni nusu bilioni, sasa hao bilioni 33 sijui wamepatikanaje?

Mtoa mada hajui tofauti kati ya milion n biliom. elimu ya bongo hiyo..... kidumu chama chama... !!!
 
Wakati takwimu za sensa ya mwaka 2010 zinaonyesha jumla ya Watanzania ni milioni 50 yaani kimahesabu ni nusu bilioni, sasa hao bilioni 33 sijui wamepatikanaje?

Milioni 50 sio nusu bilioni, milioni 500 ndiyo nusu bilioni
 
mwenye uhitaji atafuta maisha co wote wenye uhitaji wa maendeleo wa uchumi ktk maisha yaoooo but kama unaamin huu ni utapeli haina haja mtoe tyu hii post

Lakin kumbuken mnaogooa kutapeliwa wakati kila kitu unaamin ktk maisha yako utatofautisha vip kat ya fursa na utapeli


kila mtu ana imani yake na hakuna anayekwambia utume hela kwa mpesa bali mnaenda ktk ofisi za kampn

TANZANIA SIASA IMETAWALA KATIKA HATA MTU KUJENGA MAENDELEO

FIKIRI KABLA HUJAAMIN UNACHOAMBIWA
 
Nimeona matangazo kama haya kwa muda sasa. Hebu waliofanikiwa watujulishe kama ina faida au ni utapeli kama wa deci.
 
Nimeona matangazo kama haya kwa muda sasa. Hebu waliofanikiwa watujulishe kama ina faida au ni utapeli kama wa deci.

ni kweli inalipa na hakuna utapeli katika hili team yako najuhudi yako juu yakushsuri ndugu na jamaaa katika huduma hii ndio unajilipa

ukifanikiwa watu 6 umerudisha gharama ulizotia tena kwa week
 
Nimeona matangazo kama haya kwa muda sasa. Hebu waliofanikiwa watujulishe kama ina faida au ni utapeli kama wa deci.

ni mahala pake maana hii ni hoja mchanganyiko
 
Back
Top Bottom