Shule ya Nzivi Green Star English Medium primary school iliyopo Mufindi-Iringa, inatangaza fursa ya ajira za ualimu.
1. Nafasi mbili za walimu wa hisabati na sayansi.
2. Mwalimu mmoja wa Montesori
3. Mwalimu mmoja wa kiingereza.
*Vigezo
Maombi yatumwe kupitia email ya mwalimu mkuu,
maniguharuni@gmail.com au Whatsapp 0757501566.
Mwisho wa maombi ni tar 21/12/2022.