Tangazo: Kwa yeyote atakaye fanikisha kuipata laptop hii kuna zawadi taslimu ya tsh 5,000,000 Ahsanteni

Nimeibiwa Laptop MacBook Pro 15" mnamo tarehe 27 Machi 2019 muda wa kazi. Ofisi ilikuwa imefungwa kwa ufunguo mimi nikiwa kikaoni jengo jingine hapo hapo kazini. Serial number ni C02RT4WAG8WP.

Zawadi ya Shillingi 5,000,000 (million tano) itatolewa kwa atakayewezesha kupatikana kwake. Walau nizipate picha za msiba wa Bibi yangu tu.

Ninatanguliza shukrani.

View attachment 1059052View attachment 1059053

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fungua PM nkutumie kitu kinaweza kukusaidia kwenye utafutaji wako
 
Pole sana Mkuu. Acha wezi watu wawavalishe matairi wanaudhi sana hawa watu.

Nimeibiwa Laptop MacBook Pro 15" mnamo tarehe 27 Machi 2019 muda wa kazi. Ofisi ilikuwa imefungwa kwa ufunguo mimi nikiwa kikaoni jengo jingine hapo hapo kazini. Serial number ni C02RT4WAG8WP.

Zawadi ya Shillingi 5,000,000 (million tano) itatolewa kwa atakayewezesha kupatikana kwake. Walau nizipate picha za msiba wa Bibi yangu tu.

Ninatanguliza shukrani.

View attachment 1059052View attachment 1059053

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhh mmhh!!.. 8Mil kwa ajiri ya tarakishi mpakato!!.. Halafu aliyekuibia anaenda uza 2K to 5K..
 
Dah..pole bosi...ila kuepuka upotevu mwingine Kama vitu vyako siyo vya Siri vitunze kwenye Seva za mitandaoni....au tafuta backups nyingi nyingi...kuwa na kompyuta ya milion 8 halafu inapotea/inaharibika unaanza kulialia na kutoa ahadi ya million5 si busara...pole sana bosi

Sent using Beretta ARX 160
 
Nimeibiwa Laptop MacBook Pro 15" mnamo tarehe 27 Machi 2019 muda wa kazi. Ofisi ilikuwa imefungwa kwa ufunguo mimi nikiwa kikaoni jengo jingine hapo hapo kazini. Serial number ni C02RT4WAG8WP.

Zawadi ya Shillingi 5,000,000 (million tano) itatolewa kwa atakayewezesha kupatikana kwake. Walau nizipate picha za msiba wa Bibi yangu tu.

Ninatanguliza shukrani.

View attachment 1059052View attachment 1059053

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama kweli unahitaji hiyo mashine tuma details nilizo kwambia kwa WhatsApp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom