Hudhaifiy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 336
- 145
Habari zenu, nimefanya research nimegundua watu wengi wana window 7 na window 8 ya 32 bits badala ya 64 bits! Ili kujua, nenda my computer den properties halaf nenda kwenye sehem wameandika system file den check n 32 or 64 bits.
Kama n 32bits kwanza haisom ram yote, mfano 4gb itasoma 2.98 usable!
Suluhisho n moja tu just kupiga window 7 or 8 ya 64 bits uinjoy! Its too cheap, kama utakua na tatizo hilo na matatizo mengine utaniambia!
Wasiliana nami 0653 457659.
Mtel na mwenzako!
Pamoja tunajenga taifa la wenye PC Tanzania.