Tangazo kwa mnaotaka kujiunga na chuo cha Ardhi Morogoro

lovernel

Member
Oct 24, 2015
85
34
Kama sayansi umepiga fresh njoo ujiunge na chuo cha ardhi Moro ngazi ya cheti na diploma,
Uweumefaulu masomo kama physcs geography, maths, na mengine
1495517621954.jpg
 
Ukiingia na matokeo ya kidato cha sita HGE unasoma Diploma miaka mingapi?Ada kwa maka ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom