Tangazo kutoka BAVICHA

CHADEMA imekuwaje mkamuamini mtu msaliti mpaka kumpa dhamana ya kuwania urais?

Na kama mmeweza kufanya hivi awali, tutaamini vipi kwamba hamuwezi kufanya hivi tena?

....

.....Mkuu naamini katika majina haya Tundu Antipas Mughuay Lissu, Peter Msigwa
 
Mkuu Kimbunga,

Uhalisia uliopo ni kuwa Chadema kwa sasa ipo chini ya Lowassa na wewe ndiyo mwenye sauti ya mwisho siwezi kushangaa kama atajipa Ukatibu Mkuu.
 
Huyo Shirima Juvenal ni nani kwani? Ni Tamko la BAVICHA kwa namna gani?
Hayo ni mawazo yake binafsi,nahisi kuna MTU amemcote vibaya huyu kijana mpiganaji Wa chama.
Huna sababu ya kumhofu
 
Chadema katika Ukatibu mkuu naamini wameshajichanganya
 
Jina kuwa mfukoni mwa Mwkt si hoja maana hata JPM alikaa na jina la waziri mkuu mfukoni hadi sekunde ya mwisho. Lakini Mbona JK amemuweka mrithi wake ambaye ni maarufu kuliko yeye!
Mawee!! vijana hamuelewi, JPM hakuwekwa na JK, JK alitaka kumuweka Mhe Membe, JPM (Rais Dr Magufuli) in reality aliwekwa na watu wawili ------- Mhe Mkapa na Mhe Lowassa, mengine yote ni historia na blaablaa tu. Hii ndiyo the correct analysis(thesis yangu).
 
Chadema kwa sasa hamna sela mlitwambia kuwa mnaleta mgombea mzuri mkatuletea mzuri kweli kweli ngoja tusubili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…