Msambaa mkweli JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 339 Reaction score 439 Nov 13, 2012 #1 Toka jana jioni, mida ya saa 10, maji yamekatika maeneo ya Makokora, Usagara na Sahare, nini tatizo? Wenye taarifa tupeni au mgao wa maji kama umeme maana muda huu umeme nao umekata. Mungu tusaidie.
Toka jana jioni, mida ya saa 10, maji yamekatika maeneo ya Makokora, Usagara na Sahare, nini tatizo? Wenye taarifa tupeni au mgao wa maji kama umeme maana muda huu umeme nao umekata. Mungu tusaidie.
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,420 Reaction score 4,034 Nov 13, 2012 #2 tanzania nzima