kufikirika
Member
- Nov 22, 2013
- 39
- 17
Wakuu, ni kama mwezi mmoja sasa hivi SINZA hatupati umeme.Wanakata saa tatu asubuhi na kurudisha saa moja jioni.Wakati mwingine hukata hata saa moja usiku na kurudisha usiku wa manane kama saa nane hivi.
Kweli tumechoka sasa na tunapata hasara sana majumbani na katika biashara zetu.
Hebu tuambieni wenzetu wa maeneo mengine,vipi nyie umeme kwenu ukoje?
Kweli tumechoka sasa na tunapata hasara sana majumbani na katika biashara zetu.
Hebu tuambieni wenzetu wa maeneo mengine,vipi nyie umeme kwenu ukoje?