Tanesco

josephefrem

New Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Hv Tanesco kukata umeme na kurudisha muda wanaotaka hv watanzania nisaidieni hawajali hata ni hasara gani tunaigia kwa kukosa umeme
 
josephefrem tatizo ni miundo mbinu itumikayo kwenye baadhi ya maeneo, imepitwa na wakati na ni michakavu pia kiasi kwamba ikipata itilafu kidogo inasabisha na maeneo mengine kukosa umeme hasa kama inatumia line moja. Na hata uendeshaji wa shirika umekaa kisiasa na ki maslai ya baadhi ya watu.
 
Last edited by a moderator:
Mtafutieni kademu meneja wa tanesco hapo mtaani kwenu ataona aibu kukata kata umeme,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…