Maelezo yapi sahihi wewe acha kuwasaidi Tanesco na upuuzi wao wa kukata rudisha umeme kila baada ya dakika kumi kama uli observe usiku wa kuamkia leo umeme ulienda rudi au on and off mara ngapi wataka kuniambia tanesco walitutangazia au tujitangazie sisi kuwa kuna tatizo give a break buddy.
Tanesco wao wanatakiwa kuwa straight na kila wakifanyacho huwa wana maamuzi yao ya kujifanyioa bila kujulisha wateja sasa wewe wawatetea au una 10%?
Hili tatizo ni continuously toka majuzi si mchan si usiku wewe wataka kutuambia nini??????? WAGABA?????????