youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Arusha ulikuwa jana Pombe ilipokuwa hapa leo kaondoka nao kapeleka Kilimanjaro
hata tusipopiga kura Edo anaongoza ni ukweli mchungu
Na huku Geita leo kwa mara ya kwanza naona umeshinda.
Makongo hamna umeme....
Mgao hauepukiki.
Kwa siku ya pili mfululizo nashuhudia umeme kutokukatika tangu zitolewe kauli za wagombea wawili wenye nguvu [Magufuli & Lowassa]
Lowassa amewatahadharisha kuwa wajiandae kuwajibika pindi atakapokuwa madarakani, nae mgombea Urais kupitia Ccm John Pombe Magufuli amewapa onyo kuhusu kukatika mara kwa mara,
Tangu jana naona Dar es salaam wamerudisha umeme, sijui mikoa mingine
Huko Kwenu Labda, Kwetu Bado Ni Kata Rudisha Tupu!!
Kwa siku ya pili mfululizo nashuhudia umeme kutokukatika tangu zitolewe kauli za wagombea wawili wenye nguvu [Magufuli & Lowassa]
Lowassa amewatahadharisha kuwa wajiandae kuwajibika pindi atakapokuwa madarakani, nae mgombea Urais kupitia Ccm John Pombe Magufuli amewapa onyo kuhusu kukatika mara kwa mara,
Tangu jana naona Dar es salaam wamerudisha umeme, sijui mikoa mingine
Ukiona umeme upo ujue ccm wanarusha mambo yao live