TANESCO WAMELOGWA NA NANI?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,100
8,729
SIO BURE watumishi wa tansco mmerogwa haiwezekani mnakata umeme saaa mbiri mkasoro mnaurudisha saaaaa Tatu nyinyi mmelogwa hili shirika linaujumiwa sio bure Buuuuu dhit mmeniboa mpaka sasa sjui nini kimejiri Tanzania nimewai kurudi nyumbani niangalie taharifa ya habar nyie mi nafkia ndo mnakata shwain sio bure rudisheni kodiiiiiiiii! kwanza hatujawaomba mpunguze bei, maana ikipungua mtazidi kukata nyie.
 
We upo wapi mkuu? Maana huku kwetu Ukonga ulikatika saa 1:20 ukarudi saa 2.20, yani hawa jamaa TANESCO ni jipu la makalioni!
 
Mhh mbona unapanic sana Mkuu.Hiyo ni hitilafu ili tokea si kwamba wamelogwa na Tanesco haina nia ya kumkomoa mtu yeyote.linapotokea tatizo kama hilo jitahidi kuwapigia watu wa emergence wakusaidie
 
Hawa ni watu wabaya sana .kila wiki juna laini hapa kariakoo mtaa wa narung'ombe wanakata mara tatu kwa masaa kumi na mbili .hata leo walikata .na wanataka tununue majenereta

Hawa tanesco huwa hawapimi athari za kukata umeme kwa masaa 12 .huwa wanadharau sana shughuli za wananchi .na kwa waziri huyu hafuatili na kuulizia huu usumbufu wa kukatika umeme ..tutateseka sana
 
Back
Top Bottom