Tanesco tumewachoka

Tanesco tumewachoka

baraka3

Senior Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
108
Reaction score
72
Hili shirika la umeme linakata umeme sahz bila hata taarifa huku Arusha ..... Very annoyed
 
Hili shirika la umeme linakata umeme sahz bila hata taarifa huku Arusha ..... Very annoyed
Mitaa ipi hio? Huku Mt. Meru hotel na kule juu Sekei Umeme upo wa kumwaga
 
Mtoni Kijichi, D'Salaam ni giza duu kweli Tanesco imeelemewa
 
Hivi tanesco wamerogwa na nani???

Kata zima kata zima

Sasa wameamua toka saa mbili wamekata umeme hadi saa hizi

Yaani bure kabisa
 
Back
Top Bottom