Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Kwani kosa letu nini hasa yaani siku za mwisho kabla ya uchaguzi kila dk mlikua mnajata umeme baada ya uchaguzi mkatuachia kama wiki tu sasa hivi hii adhabu imezidi najiuliza kuanzia jana kinyozi kala nini muweka nyimbo kwenye simu je?vipi kuhusu mashine za kukoboa na kusaga msitufanye maisha kua magumu kwa husda zenu mbona,au kuna kitu nyuma ya pazia sababu kuna maeneo hayakatiki mfano kange,meneja tanesco elewa kua kuna familia nyingi zinakosa chakula sababu yenu muogopeni aliyewaumba kama ni agizo mmepewa endeleeni but its not fair.