DAVID ROUBEN
Member
- May 25, 2015
- 91
- 4
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME MAENEO
KANSAY, ENDAMARARIEK NA MAHAHAHA MKOANI ARUSHA.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wa mkoa wa Arusha kuwa kutokana na mvua kali iliyoambatana na upepo iliyonyesha leo mchana Desemba 17, 2015, imesababisha kuanguka kwa nguzo kumi zilizopo katika Maeneo ya Kansay, Endamarariek na Mahahaha mkoani humo na kupelekea maeneo hayo kukosa Umeme. Mafundi wapo maeneo hayo wanaendelea na kazi ya kuzisimamisha nguzo hizo usiku kucha na pindi kazi hiyo itapokamilika Umeme utarudi katika hali ya kawaida.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza.
Imetolewa na; Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu.