Tanesco noma

Tanesco noma

Joined
Nov 12, 2013
Posts
20
Reaction score
9
Jamani luku yangu inakula umeme sana yaan umeme wa 35elf haufiki mwisho wa mwezi na mimi sina matumizi makubwa zaidi ya tv, radio na kafriji nisaidien jamen
 
Wamekuwekea ya viwandani! haifai kwa matumizi ya nyumbani,pia angalia kifriji chako hicho kisiwe kinakesha kama CNN, kama sio hayo kutakuwa kuna mahala shoti huwa inatokea katka nyumba yako!
 
Back
Top Bottom