asubuhi sana JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 1,669 Reaction score 1,418 May 10, 2015 #1 Nimewapigia Leo asubuhi na wakaniambia nibonyeze *150*50*345#
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,507 May 10, 2015 #2 uwe unaenda tanesco ama kwenye maxmalipo,kununua kwa simu inachelewa na unaweza poteza pesa
asubuhi sana JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 1,669 Reaction score 1,418 May 11, 2015 Thread starter #3 Elungata said: uwe unaenda tanesco ama kwenye maxmalipo,kununua kwa simu inachelewa na unaweza poteza pesa Click to expand... Mkuu nilinunua mida hiyo sababu humu maxmalipo walifunga shop zao, mida ya saa 1 kasoro ya usiku
Elungata said: uwe unaenda tanesco ama kwenye maxmalipo,kununua kwa simu inachelewa na unaweza poteza pesa Click to expand... Mkuu nilinunua mida hiyo sababu humu maxmalipo walifunga shop zao, mida ya saa 1 kasoro ya usiku
N Ni kwedi Kaya Member Joined Feb 17, 2015 Posts 46 Reaction score 21 May 11, 2015 #4 pole sana mkuu. bilashaka tigopesa waliku2mia msg yenye kumbukumbu namba inayosema muamala wako ume2mwa kwa wakala... nenda ofisi yoyote ya tanesco karibu yako waonyeshe iyo msg ya tigo pesa na utapatiwa token zako bila usumbufu nenda leo
pole sana mkuu. bilashaka tigopesa waliku2mia msg yenye kumbukumbu namba inayosema muamala wako ume2mwa kwa wakala... nenda ofisi yoyote ya tanesco karibu yako waonyeshe iyo msg ya tigo pesa na utapatiwa token zako bila usumbufu nenda leo