Tanesco wanaweza kutumiwa week hii inayokuja wakati ambapo Report ya CAG itawasiliwashwa katika Bunge na kujadiliwe.Naomba tuungane kwa pamoja wana JF kupaza sauti na kutoa angalizo kwa Tanesco kutokata Umeme wiki inayokuja.

Naona kuna mgao jijini Dar. Leo mjini hakuna umeme tangu asubuhi sasa hivi tena wamekata usiku. Laiti sector hii isingekuwa monopolistic ningeshahama Tanesco.