MTENDAHAKI2
Member
- May 23, 2013
- 37
- 4
Ni kawaida ya mkoa wa Morogoro kukatika kwa umeme mara kwa mara tena bila ya taarifa, hivi hamuoni kua mnatutia hasara maana kila cku mnaunguza vitu vyetu,kiukweli mumeoza na inakera hasa maeneo ya Mjini na mitaa yake! Uthibitisho leo umekatika mara tatu