Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
hapa igunga ulikatwa saa 11 jioni ukarudi saa moja na nusu then wameukata tena kama nusu saa limepita. Daa
wanawaogopa zitto na january tu!Sitamani hata kulisikia hili jina. Linanikera sana.
makao makuu ya chama na serikal?Hapa Dodoma ni mchezo kama huo pia, kila baada ya dakika kadhaa wanakata na kurudisha ghafula.
naogopa ban na wanajf ningem2kana huyu mp*:-*zi wa kimeru anadai dowans n' magamba baadae, leo ni mikwara tu na kujikomba kwa kiranja wa kaya...!si yule jamaa wa Richmond katema mkwara leo kule MONDULI, so jamaa wa tanesco wanatukumbusha alichotufanyia tusijesahau na kumuona ni muungwana hahahahaha