Hawa hawawezekani wewe si ulisikia jana taarifa ya habari wanasema mtambo wa tegeta umeshindwa kuwashwa mapema kwa sababu vifaa vilikuwa vimekwama bandarini, what a joke. ingekuwa ni gari ya mke wa waziri ingepigwa simu tu bandarini ikawa cleared in one dday lakini vifaa vya umeme hadi nchi inakuwa na mgao mkali eti vifaa vimekwama bandarini, kweli lack of priorities.Fikiria kabla ujatoa lawama.toa boriti kwanza kwenye jicho lako!!!!!investment in energy sector it is not a jokes!!!!!
nini maana ya shirika la umma,?ni kujiendesha si kwa kibiashara bali kutoa huduma ikitegema rukuzu kutoka serikalini,wakulaumiwa siyo Tanesco ni serikali kupitia WIzara husika.MD wa Tanesco yuko answerable kwanani,board ya tanesco,Rais au Waziri wa Nishati na madini.
Lets us be realistic which will lead the nation to the comprehensive soln to our problem not only energy sector.