majiyachupa
Member
- Jul 5, 2011
- 57
- 11
Hapo pengine panafaa kuandikwa "g"Hongera sana tanesco kwa kukata umeme kwa muda wa masaa 24 sasa, ongezeni yawe masaa 116 ndo itakua poa maana huku tushazoea kukatiwa umeme hovyo hovyo
Kidumu chama cha mapinduzi
Tanesco oyee
Jimbo la kigamboni oyeee
Hamia kinondoni hakuna tatizo la maji wala umeme
nafuu kupunguza matumizi ya umeme ili bill au luku idumu
Kijichi umeme hatujauonaSasa hivi ni saa 3:05 asubuhi siku ya pili hakuna umeme jimbo la Kigamboni Mbagala....! Ingekuwa Oysterbay umeme ungekosekana kiasi hiki? Matapeli wa Tanesco na visingizio vya uongo
Sasa hivi ni saa 3:05 asubuhi siku ya pili hakuna umeme jimbo la Kigamboni Mbagala....! Ingekuwa Oysterbay umeme ungekosekana kiasi hiki? Matapeli wa Tanesco na visingizio vya uongo