mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 5,008
- 5,413
Kufuatia leo kuanza kwa kodi za majengo kupitia mfumo wa ununuaji wa luku nilitegemea kupata mchanganua wa ni kisasi gani nimekatwa katika manunuzi yangu ya umeme.
Kikawaida naponunua umeme wa 2000 hua napata unit 6,ila leo nimepewa unit 5.7 kwa maana kwamba wamekata kodi ya jengo. Japo mimi mnunuajia sijaelewa ni kiasi gani wamekata na kiasi gani nimebaki nadaiwa ili ifike hiyo 1000 wanayo taka kwa mwezi. Je, hii sio njia rahisi ya wao kuibia wateja wao wanao nunua kidogo kidogo?
Kwanini hiyo tozo isingekua inaonekana kwenye receipt yao? Kama ilivyo kwa VAT, EWURA NA REA.