Hawa jamaa waliandikwa sana kwenye vyombo vya habari bahati mbaya sikio la kufa....
Kimsingi ukiwa na tatizo la emergency au linginelo wanakupa reference number. Hapo utapewa maneno ya faraja kisha uongo mwingi sana.
Inachoonekana hakuna check and balance. Hakuna mtu anayefuatilia km matatizo yanatatuliwa na yanachukua muda gani. Ni mara chache mno simu kupokelewa.
Hii huduma tunayolipia mbona ya hovyo hivyo?
Namba yao ni 0717 379 696