ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Hili wazo pia ukikaa vizuri unapiga hela[emoji23]Imekaa fresh sana hiyo idea nyingine ni kubet teuzi
Mama Samia hatatenguA na kufanya uteuzi ndani ya week
Odds 2.8
Mkuu unaonaje wazo hiloUkihama Bongo, utaenda wapi sasa kwa mfano?![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu mtuwekee na option ya combinationHili wazo pia ukikaa vizuri unapiga hela[emoji23]
[emoji23][emoji23]utajiri nje nje mkuuHalafu mtuwekee na option ya combination
Mama Samia Ata fanya UTEUZI WEEK HII ila hapo hapo umeme lazima utakatika HATA MARA MOJA KATIKA WEEK HUSIKA ODDS 1.4 AISEE HII NAWEKA MZIGO
TzTenesco ni I'm from Uganda, lives and work here in South Africa, where are you from?
Kabisa jamaa anaweza kuweka milioni akakata umeme siku nzima[emoji23]Huoni kama Inside job itahusika? Yaani mkata umeme akijiunga tu atakula hadi mumfukuze
Bonge la idea 💡Sisi wenye macho ya fursa tumeona ipo fursa hapa.
Imagine unaanzisha live betting ya kukatika kwa umeme.
Masharti ni mkeka unawekwa kila siku saa sita kamili usiku.
Mkeka unadumu masaa 24.
Mteja anatakiwa kubashiru mahali alipo Umeme utakatika mara ngapi kwa siku.
Kiwango cha kuweka kwenye mkeka kinaanzia tsh 500,na kuendelea
Odds ziwe kama hivi
1. Umeme utakatika mara moja =×10
2.Umeme utakatika zaidi ya mara moja lakini sio zaidi ya mara 3=×25
3.Umeme utakatika zaidi ya mara moja lakini sio zaidi ya mara 5 =× 50
4.Umeme utakatika zaidi ya mara 5 lakini sio zaidi ya mara 8=×75
5.Umeme utakatika zaidi ya mara 8=×80
6.Umeme utakatika siku nzima=× 200
Nitaweka mawakala kila wilaya kudhibiti udanganyifu.
Mfano mtu akaweka tsh elfu 10,000 akasema umeme utakatika siku nzima atajishindia tsh 10,000× 200= tsh 2,000,000/=
Mnaonaje hili wazo,je sheria inaruhusu?, Brela watakubali?
Karibuni kwa maoni na ushauri
Mwisho kabisa nimshukuru mama kuniwezesha kuandika hapa.
Kabisa jamaa anaweza kuweka milioni akakata umeme siku nzima[emoji23]
😅😅😅🤣🤣🤣Sisi wenye macho ya fursa tumeona ipo fursa hapa.
Imagine unaanzisha live betting ya kukatika kwa umeme.
Masharti ni mkeka unawekwa kila siku saa sita kamili usiku.
Mkeka unadumu masaa 24.
Mteja anatakiwa kubashiru mahali alipo Umeme utakatika mara ngapi kwa siku.
Kiwango cha kuweka kwenye mkeka kinaanzia tsh 500,na kuendelea
Odds ziwe kama hivi
1. Umeme utakatika mara moja =×10
2.Umeme utakatika zaidi ya mara moja lakini sio zaidi ya mara 3=×25
3.Umeme utakatika zaidi ya mara moja lakini sio zaidi ya mara 5 =× 50
4.Umeme utakatika zaidi ya mara 5 lakini sio zaidi ya mara 8=×75
5.Umeme utakatika zaidi ya mara 8=×80
6.Umeme utakatika siku nzima=× 200
Nitaweka mawakala kila wilaya kudhibiti udanganyifu.
Mfano mtu akaweka tsh elfu 10,000 akasema umeme utakatika siku nzima atajishindia tsh 10,000× 200= tsh 2,000,000/=
Mnaonaje hili wazo,je sheria inaruhusu?, Brela watakubali?
Karibuni kwa maoni na ushauri
Mwisho kabisa nimshukuru mama kuniwezesha kuandika hapa.
Accumulator hio 😂Halafu mtuwekee na option ya combination
Mama Samia Ata fanya UTEUZI WEEK HII ila hapo hapo umeme lazima utakatika HATA MARA MOJA KATIKA WEEK HUSIKA ODDS 1.4 AISEE HII NAWEKA MZIGO
hakuna cha bonge la idea. mkata umeme mutamutajirisha kampuni ifilisikeBonge la idea 💡
Hapa nimemkubali ndegeAccumulator hio [emoji23]
Acha kuogopa fursa kijana,the higher the risk the higher the stake